Kutoka nchini Zambia kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea wimbo mzuri
uitwao Nalichimfya kutoka kwa mtumishi wa Mungu anayefahamika kwa jina
la Kwanda akiwa amemshirikisha rapa Mag44.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri, Endelea Kubarikiwa!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni