Mkali wa nyimbo za Injili Afrika Mashariki al maarufu Joel Lwaga kwa mara nyingine tena ameachia video mpya ya wimbo wake mzuri unaoitwa Nafasi Nyingine. “Nafasi Nyingine is a great Gospel and Inspirational Song that means “Another Chance”.
– Joel Lwaga
Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Amen
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni