Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri wa sifa na ibada unaoitwa Omniscience God kutoka kwa Peaceking David.
“He is an all knowing God, He is everywhere touching lives, changing situations and He never fails.” – Peaceking David
Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni