Breaking

Jumatatu, 25 Februari 2019

Video | Subira Mwikwabi – Jeshi la Mtu 1

Kutoka jijini Dodoma kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea video ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Jeshi la mtu 1 kutoka kwa mwimbaji Subira Mwikwabi, Huu ukiwa ni wimbo unaobeba jina la albamu yake mpya inayotarajiwa kuachiwa hivi karibuni.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.


Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Subira Mwikwabi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 768 022 673
Facebook: Subira Mwikwabi
Instagram: @subiramwikwabi
Youtube: Subiramwikwabi Nyakimori

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni