Breaking

Jumatatu, 25 Februari 2019

Video | Fabian Modern – Siwezi


Kutoka jijini Mbeya kwa mara ya kwanza leo tunamtambulisha kwako mwimbaji Fabian Modern ambaye wiki chache zilizopita alichia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Siwezi.

Video hii imeongozwa na director Travellah kutoka Kwetu Studios, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza J Willz.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakubariki na kukugusa kwa namna ya tofauti. Amina.


Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Fabian Modern kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 522 994
Facebook: Fabian Modern
Instagram: @fabianmodern97
Youtube: FABIAN MODERN

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni