Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 Imma Kuleba ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Hakuna, hapa akiwa amemshirikisha mwanadada Ursula Nesh kutoka nchi ya Afrika kusini, Imma Kuleba ni moja kati ya rapa wanaoendelea kufanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Injili Tanzania.
“Hakuna Kama Mungu.. matendo yake ni makuu kila ninapoitwa leo na ukimtafakari kwa kina anabaki kuwa Yeye?????” – Imma Kuleba
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na rapa Imma Kuleba kupitia
Simu/WhatsApp: +255 656 843 188
Facebook: Imma Kuleba
Instagram: @immakuleba
YouTube: Imma Kuleba
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni