Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tumekusogezea wimbo wake mpya uitwao Wazo kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Imani Misana.
Muziki huu umetayarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Masai Record chini ya mikono ya prodyuza Yz Manamba.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki, Amen
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Imani Misana kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 715 673 527
Facebook: Imani Misana
Instagram: @iman_misana
Youtube: Imani Misana
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni