Breaking

Jumatatu, 25 Februari 2019

Video | Frank Edwards – Happiness


Frank Edwards ni moja kati ya waimbaji maarufu zaidi nchini Nigeria na kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Happiness.

Frank Edward ameachia wimbo huu kumwita kila mtu kumsifu Bwana na kucheza kama Daudi na kupokea baraka, neema na fadhili.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki na kukugusa kwa namna ya pekee.


Social Media
Facebook: Frank Edwards
Instagram: @frankrichboy
Twittter: @frankrichboy
YouTube: FRANK EDWARDS

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni