Baada ya kimya kidogo toka alipoachia wimbo uitwao Shukurani ikiwa moja kati ya nyimbo zake mwaka alizowahi kuachia mwaka 2018 kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019
mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Arusha Richard Munisi ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Salama.
“SALAMA ni wimbo unaomhamasisha mtu kutokukata tamaa bali kumwomba Mungu mpaka pale atakapojibu maombi yake.” – Richard Munisi
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.
\
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Richard Munisi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 043 658
Facebook: Richie Mziwanda
Instagram: @officialrichiemziwanda
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni