Kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Odas Eston kutoka nchini Tanzania na huu ni wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Niache Niimbe aliouchia wiki chache zilizopita.
“Niache Niimbe ni wimbo wa kumshukuru Mungu na kusifu, Najua kuna mahali Mungu amekutoa na kukufikisha sehemu ambayo hukuwa unatarajia kufika katika maisha yako, hebu tushirikiane kwa pamoja kuimba wimbo huu tukimshukuru Mungu kwa matendo yake makuu yaliyoonekana katika maisha yetu.” – alisema Odas
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao kwa hakika utakugusa kwa namna moja ama nyingine, Barikiwa.
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Odas Eston kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 768 530 034
Facebook: Odas Eston
Instagram: @odaseston
Youtube: Odas Eston
Simu/WhatsApp: +255 768 530 034
Facebook: Odas Eston
Instagram: @odaseston
Youtube: Odas Eston
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni