Kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo za Sifa na Ibada maarufu kama Godwill Babette ameachia video ya wimbo wake mpya wa sifa uitwao Forever More.
Video hii imeongozwa na director Steve Hunter, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Dominic Khaemba.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa itakubariki na kumsha furaha na shangwe moyoni mwako katika kumsifu Bwana wetu Yesu Kristo.
Social Media:
Facebook: Godwill Babette Wasidi
Instagram: @godwillbabette
YouTube: Godwill Babette Media
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni