Breaking

Jumanne, 26 Februari 2019

Audio | Jennifer Mgendi – Usipoteze Lengo Lako


Baada ya kimya cha muda mrefu mwimbaji mkongwe katika Tasnia ya muziki wa Injili Jennifer Mgendi kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Usipoteze Lengo Lako.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo wimbo huu mzuri ukiwa na funzo kubwa ndani yake na hakika utakugusa na kujaza jambo jipya ndani yako, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Jennifer Mgendi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 713 293 734
Facebook: Jennifer Mgendi
Instagram: @jennifermgendi
Youtube: Jennifer Mgendi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni