Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunaitambulisha kwako video ya
wimbo mpya inayokwenda kwa jina la Ni Wewe kutoka kwa mwimbaji na rapa
wa nyimbo za Injili maarufu kama Peter Banzi, Video hii ikiwa imeongozwa
na director bony albert kutoka studio za B.A.E ENTERTAINMENT.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni
hakika itakubariki kila wakati utakapokuwa unasikiliza na kutazama video
ya wimbo huu, Amen.
Tamasha kubwa na la aina yake maarufu kama Cheka Tena linatarajiwa kuanza kwa kishindo mwaka 2019 kwa mikoa yote ya Tanzania Bara, C...
About Gospel Sharom
Kanuti Mmbaga Smart is a Social Media Strategist & a Minister Of The Gospel! I'm also a widely online publisher, leading the revolution in Gospel Media #KingdomBlogger
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni