Watu wa Dar es Salaam msikose ibada hii usiku wa Ijumaa Mungu atatuhudumia sana ni siku ya kipekee sana waimbaj mbali mbali watahudum siku hiyo ukipata taarf hii mtaalifu na mwenzako Mungu atakubaliki
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Andrew Robinson leo ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Jina la Yesu akiwa amemshirikisha mwimbaji mahi...
About Gospel Sharom
Kanuti Mmbaga Smart is a Social Media Strategist & a Minister Of The Gospel! I'm also a widely online publisher, leading the revolution in Gospel Media #KingdomBlogger
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni