Kwa mara nyingine mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania
maarufu kama YZ Manamba ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao
Nibariki. Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki, Ameen.
Tamasha kubwa na la aina yake maarufu kama Cheka Tena linatarajiwa kuanza kwa kishindo mwaka 2019 kwa mikoa yote ya Tanzania Bara, C...
About Gospel Sharom
Kanuti Mmbaga Smart is a Social Media Strategist & a Minister Of The Gospel! I'm also a widely online publisher, leading the revolution in Gospel Media #KingdomBlogger
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni