Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo
za Injili anayefahamika kama Silvabel Msuya ameachia wimbo uitwao Usiku
Mtakatifu ikiwa ni zawadi maalumu ya Krismasi kwa watu wote.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni
hakika utakubariki wakati tunasubiri kumpokea mwana mkombozi Bwana wetu
Yesu Kristo, Heri ya Krismasi na mwaka mpya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni