Kutoka nchini Zambia leo tumekusogezea wimbo mzuri uitwao Kosa kutoka
kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini humo anayefahamika kwa jina
la Martha Mukuka.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.
Bwana Yesu asifiwe, Katika maombi yetu ya siku ya ijumaa, Mungu alituongoza kuombea utumishi wetu kwake. Wakati tunaomba, Mungu al...
About Gospel Sharom
Kanuti Mmbaga Smart is a Social Media Strategist & a Minister Of The Gospel! I'm also a widely online publisher, leading the revolution in Gospel Media #KingdomBlogger
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni